ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, January 4, 2013

Mbunge wa Ubungo Chadema John Mnyika Akabidhi Zawadi Rasmi Kwa Washindi wa Shindano la Ujasiriamali Jimbo la Ubungo

Mshindi wa Tatu: Seif Juma (19) kutoka Goba Tsh 50,000/-
Mshindi wa Kwanza: Joseph R. Shindo (22) kutoka Kata ya Kimara Tsh 200,000/-
Mshindi wa Pili: Rehema A. Abdallah (25) kutoka Makurumla Tsh. 100,000/-
Washiriki wote wa shindano, pamoja na waratibu na Mbunge wa Jimbo la Ubungo.Picha na Habari Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo
--
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa ushirikiano na shirika la Maendeleo Ubungo; Ubungo Development Initiative (UDI) waliendesha shindano la kuwainua wajasiriamali wadogo wadogo kwa kuwataka kuandaa mchanganuo namna gani watatumia Tsh 200,000/- katika kuanzisha au kuiendeleza biashara zako

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...