ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, January 30, 2013

MOTO WATEKETEZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX DAR

 Moshi mkubwa ukitoka ndani ya kiwanda cha Chemi Cotex kilichopo Dar
 
Wananchi wakitizama moto unaoendelea kuteketeza kiwanda

 Wafanya kazi wa kiwanda cha kuzalisha vipodozi cha ChemiCotex wakiwa wametoka nje baada ya moto kuzuka ndani ya kiwanda hicho jana
 
 Moto mkubwa umezuka na kukiunguza kiwanda cha vipodozi cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha moto huo hakijafahamika ingawaje inahisiwa kuwa huenda ni hitilafu iliyotokana na fundi aliyekuwa akichomelea kitu ndani ya kiwanda hicho.Wahusika wakuu wa kiwanda hicho hawakuwa katika eneo husika ili kutoa maelezo zaidi. Taarifa zinasema kuwa magari ya kikosi cha zima-moto yalipowasili, watu walianza kuyarushia mawe kiasi cha kutishia usalama wa watu wengine ambao waliamua kuondoka kutoka katika eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...