Ndugu
wa Msanii aliyefariki dunia leo hii Juma Kilowoko (Sajuki)
aliyejitambulisha kwa jina la Ahmedi Mkotwa akilia na kushindwa
kuzungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwa Sajuki Tabata jijini
Dar es Salaam. "Alinichukua nyumbani akaniambia mdogowangu twende
ukatafute maisha na kweli tulipanga mambo mengi lakini...." akashindwa
kuendeleea.Mazishi ya Msanii huyo yanatarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye makaburi ya Kisutu. .
Msanii Mkongwe maarufu kwajina la Bimwenda akimlilia msanii mwenzake Sajuki huko nyumbanikwake Tabata
No comments:
Post a Comment