Mh.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anajadiliana jambo na Waziri Mkuu
Mstaafu Mh. Edward Lowasa baada yakushuka katika ndege uwanja wa Dsm
wakitokea Dodoma Mh Pinda alikuwa Dodoma ambako alifungua mkutano mkuu
wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Serekali za Mitaa nyuma yao ni
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa (TAMISEMI) Mh.
Hawa Ghasia wakiwa na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Jordan Rugimbana
ambaye alikuja kumpokea waziri mkuu uwanjani hapo picha na chris
mfinanga
No comments:
Post a Comment