Picha juu ni gari alilokua akitumia Paroko
wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mushi leo asubuhi likiwa limegonga ukuta muda mfupi
baada ya watu wasiojuliakana kumshambulia Paroko Evarist Mushi kwa
risasi na kufariki
Sehemu
ya Waumini wakiwa wenye majozi muda mfupi baada ya kupata habari za
kifo cha Paroko wao wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana ljana
asubuhi katika gari
lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
Padri Cosmo Shayo(Kulia)akizungumza na viomgozi wa kanisa kuhusiana na tukio la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana jana asubuhi katika gari
lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
Picha
juu na chini Sehemu ya waumini mbalimbali wakiwa nje ya viwanja vya
hospitali ya mnazi mmoja leo asubuhi baada ya Paroko wa Kanisa la
Katoliki Minara Miwili
Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana jana
asubuhi katika gari
lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00.Picha Adrew Chale na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar
No comments:
Post a Comment