Ndipo jirani yangu Joram pamoja na mimi tulipoamua kwa ruhusa ya uongozi wa serikali ya mtaa kufanya kile ambacho tuliweza kulingana na mfuko wetu. baadaye kila mtu kuwanzia mwenye gari hadi mtembea kwa miguu anafurahia. ndiyo maana nimesema, ukisubiri serikali au mbunge akuletee maendeleo mtaani kwako utaambulia patupu.
Sehemu ya barabara iliyochimbika sana
Mabombayaliyopitishwa katikati ya barabara yakivuja kwa muda mrefu bila kukarabatiwa
Vijana ambao jana kwao ilikuwa siku nzuri kwani kila trip moja ya lori walikuwa wakiisambaza kwa 10,000
na tuliweka maloro 17
Mabomba yakiwa yanaonekana juu ya ardhi bila kufukiwa na cha ajabu kila mwenye uwezo wa kuweka maji ana bomba lake mwenyewe linalopeleka maji hadi nyumbani kwake, hivyo kufanya hata kazi ya kukarabati barabara iwe kubwa na ngumu.
Vijana wakichangamikia tenda ya kusambaza
mjumbe wa mtaani kwetu akisimamia kazi
M4C nao wanatumia barabara yetu ikiwa na mashimo hivyo hivyo (wao ndiyo wamepewa kura na wananchi wetu)
Rafiki yangu Hasani akituunga mkono walao kusambaza kifusi
Watembea kwa miguu wakipita vizuri baada ya sehemu hiyo kutengenezwa
Jirani mwingine kisaidia
Sehemu nyingine
Mimi pianilishiriki kikamilifu katika zoezi zima ambalo lilichukua siku nzima ya jana. Sasa walao tunaweza kuendesha magari yetu bila kuhofia kuvunja spring
'MAENDELEA YATALETWA NA WANANCHI MWENYEWE"
No comments:
Post a Comment