MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akiwaongoza maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza (hawapo pichani)
waliohudhuria mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya
Furahisha, kuinamisha na kushika kichwa, kisha kutoa ukunga, ikiwa ni
ishara ya kilio dhidi ya kuporomoka kwa elimu nchini, akisema kuwa
matokeo ya Kidato cha IV mwaka 2012 ni msiba mkubwa kwa taifa na kwamba
chama hicho hakitakubali Tanzania kugeuzwa taifa la mbumbumbu, huku
chama tawala kikiwa hakina sera wala mikakati endelevu ya kuondokana na
hali hiyo.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia mamia ya wakazi wa Mwanza katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa.
Makamanda wa Cahdema Hamada Yusuph akiunguruma
Kamanda Alphonse Mawazo akiongea katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kanda ya Ziwa.
Sehemu ya Umati Mkubwa
Msururu wa Magari na watu mbalimbali ukitoka kwenye mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya
Furahisha jijini mwanza.Picha Zote na CHADEMA
No comments:
Post a Comment