ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, February 11, 2013

Ndugu tunauana kwa sababu ya Yesu na Mohammad (kama ndivyo basi dini zimepoteza maana) dini ya kweli ipo ndani mwa mtu na inajulikana kwa watu wenginekutokana na matendo yake. Mengine haya ni social responsibilities tu.


Majeruhi Abdalah Ibarihim akiwa amejeruhiwa vibaya baada ya kukatwa mapnga kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni Wakristo.



Huyu naye ni majeruhi aliyetambuliwa kwa jina la Steven Andrea (34) ambaye anadaia kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.
 
  
 
Jana kulitokea mapigano makubwa Geita eneo la Buseresere baina ya Waislam na Wakristo chanzo cha mapigano hayo ni wakristo kuanza kuchinja nyama na kuiuza.

Silaha zinazotumika ni silaha za jadi watu wanazunguka mtaani wanakukamata wanakuuliza jina ukitaja jina tofauti na imani yao unapigwa kiasi cha kutosha tu
Kwa mujibu wa Taarifa hizo tayari idadi ya watu 10 wamejeruhiwa kwa kukatwa mapanga ambapo mmoja hali yake inaelezwa kuwa mbaya na amekimbizwa ktika hospitali ya wilaya ya geita,tayari polisi wa kikosi maalum cha kutuliza ghasia FFU kikiongozwa na Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Geita wamewasili eneo la tukio.
Wakristo hao walifanya mkutano wa hadhara jana na kusema kuanzia leo hawatakubali kula nyama  iliyochinjwa na waislam. Na kutenga eneo lao maalumu la kuchinji nyama zao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...