ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, February 2, 2013

NSSF YAWAPA MAFUNZO MAMENEJA RASIRIMALI WATU WA TAASISI ZA FEDHA NA MAKAMPUNI YA SIMU


Baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakijaza fomu wakati wa semina iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), na kufanyika kwenye Hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo Feb 2, 2013.
Baadhi ya washiriki wa semina ya Mameneja Rasirimali Watu Kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu wakipitia vipeperushi vinavyohusiana na semina hiyo.
Meneja Kiongozi Mahusiano, Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (kulia), akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu iliyoandaliwa na shirika hilo na kufanyika katika hoteli ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo leo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crecentius Magori (katikati), akifungua semina ya iliyoandaliwa na shirika hilo kwa Mameneja Rasirimali Watu kutoka Taasisi za Fedha na Makampuni ya Simu, mjini Bagamoyo leo Jumamosi feb 2, 2013.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...