
Castel Gandolfo

Muonekazo wa Castel Gandolfo


Papa Benedict akilisha Samaki

Papa alisali rozari

Papa akitafakari katika moja ya bustani za Castel Gandolfo



Walinzi wa Papa


Papa akiwa katika Balcon ya Castel Gandolfo akibariki watu
Watu waliokusanyika katika viwanja vya Castel Gandolfo kusubiri kumwona Papa
Asubuhi ya leo saa 11 am GMT Papa amefanya mkutano wa mwisho na makardinali wote
Usiku wa leo 4 pm GMT Papa ataondoshwa kwenye makazi ya vatica kwa helkopta na kupelekwa Castel Gandolfo kwa muda ambapo ni makazi ya papa katika kipindi cha kiangazi.
Picha za hapo juu ni muonekana wa Castel Gandolfo
Shughuli nzima itakuwa inaonyeshwa na televission zote duniani na kwa Tanzania itakuwa ni muda wa saa nne usiku. BBC, CNN, SKY NEWS, Algezera......... ni miongoni mwa TV zitakazokuwa zinaonyesha tukio hilo la kihistoria.
Baada ya hapo, Kanisa katoliki litaingia katika kipindi kiitwacho "Sede Vacante" au kwa kiingereza "Vacant See" au kwa tafsiri yangu "kipindi ambacho hakuna papa"
Kuanzia hapo kanisa litakuwa kwa muda chini ya "camerlengo" ("chamberlain"), ambaye kwa sasa ni Kardinali Tarcisio Bertone

Kesho nitawaletea makala ya kazi ya Camerlengo au kiongozi wa mpito kabla ya papa Mpya kuchaguliwa.
No comments:
Post a Comment