
Baadhi
ya wafuasi hao wa Shekh Ponda wamekamatwa katika maeneo mbalimbali
wakati wakijaribu kuingia katika eneo la Posta ambapo ulinzi mkali
uliimarishwa huku polisi wakitumia Magari, Pikipiki, na Mbwa huku makachero
wakizunguka kila mahali.
Baadhi
ya Barabara zilifungwa ili kuweka eneo hilo katika hali ya usalama
zaidi na kuhakikisha linadhibitiwa na kulidwa kirahisi.


No comments:
Post a Comment