Trafiki Elikiza baada ya kugongwa na gari eneo la Bamaga muda huu.
rafiki wa kike aliyejulikana kwa jina
moja la Elikiza aliyekuwa akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini
Dar, akifunikwa na wasamaria wema baada ya kugongwa na gari na
inadhaniwa kuwa amekufa papo hapo.
Baadhi ya wananchi waliofika na baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)Wakiwa eneo la tukio
Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.Picha na Shauri Kati / GPL
--
Trafiki
mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Elikiza, muda huu amegongwa
na gari aina ya VX ambayo haikujulikana namba na inadhaniwa kuwa amekufa
papo hapo wakati akiongoza magari eneo la mataa ya Bamaga, Mwenge
jijini Dar es Salaam. Taarifa zilizopatikana eneo la tukio zinadai kuwa
Trafiki huyo alikuwa akiongoza msafara na baada ya msafara huo,
aliruhusu magari mengine yaendelee na safari ndipo ghafla gari
lilipotoka upande wa pili na kumgonga.
No comments:
Post a Comment