![]() |
| Huu ni UMATI wa watu waliokuja kuhudhuria kampeni za JUBILEE katikamitaa ya Kapkatet, Bungoma na Homabay ,uchaguzi utakafanyika jumatatu tarehe 4/3/2013 |
![]() |
| Mwana dada akifurahia kampeni za upande wa JUBILEE ,akiwa amevaliwa vazi lenye jina la chama cha TNA ambacho Uhuru Kenyatta ndie anakiwania nacho urais wa Kenya Jumatatu Ijayo. |






No comments:
Post a Comment