Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, wapili kutoka
kushoto akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Programu ya
Mafunzo kazini kwa askari wote nchi nzima yaliyofanyika jijini Dar es
salaam, akifuatiwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam DCP
Suleiman Kova, Mkuu wa chuo cha Taaluma ya Polisi (DPA) ACP Ally Lugendo
na kushoto ni Mkuu Kitengo cha wa Mafunzo SACP Alice Mapunda.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Said Mwema, akiwa na maofisa
wa Polisi wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa program ya mafunzo
kazini kwa kutumia mtandao, tukio hilo lilifanyika jijini Dar es salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema akikagua Utekelezaji wa
Programu ya mafunzo kazini kwa maofisa wa Polisi( kushoto ni Msemaji wa
Jeshi la Polisi Advera Senso), ukaguzi huo ulifanyika Makao Makuu ya
Jeshi Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema akikagua program ya
Mafunzo kazini kwa wakaguzi wa Polisi pamoja na askari, ukaguzi huo
ulifanyika Makao makuu ya Polisi jiji Dar es salaam. Picha na Frank
Geofray- Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment