Wakazi wa Kimara Kilungure wakiwa
wametaharuki baada ya kukosa jinsi ya kuvuka daraja ambalo limefunikwa
na maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha janaKatika Jiji la Dar
na kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara hiyo huko Kimara
Kilungure
Daraja lililopo Kimara kilungure
likiwa limefunikwa na maji yaliyosababishwa na Mvua Kali iliyonyesha
Jijini Dar mapema jana na kupelekea kuleta adha kwa watumiaji wa barabara
hiyo na daraja huku wakazi maeneo hayo wakiwa wamesimama kwa kushindwa
kuvuka kwa kuogopa kupoteza mali pamoja na maisha yao kutokana na maji
kufunika daraja
No comments:
Post a Comment