MVUA zinazondelea
kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimeasbabisha
kukatika kwa
mawasiliano ya barabara kati ya wilaya za monduli na
karatu
mkoani arusha baada
ya daraja la mMto Kirurumo linaounganisha wilaya hizo
kufunikwa na mawe na
kusababisha maji kukata sehemu kubwa ya barabara hiyo
Mvua hizo zinazodaiwa
kuanza kunyesha kuanzia saa tisa usiku pia
zimesababisha idadi
kubwa ya nyumba katika bonde la mto wa mbu kujaa
maji
No comments:
Post a Comment