ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, March 6, 2013

Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda avamiwa na kupigwa Vibaya Usiku wa Kuamkia Leo na Watu Wasiojulikana


 Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Ndugu Absalom Kibanda akiwa hospitali ya taifa ya muhimbili muda mfupi baada ya kuvamiwa na kupigwa vibaya na watu wasiojulikana.picha hii imepigwa saa tisa usiku wa leo na Mdau Chongoloh
---
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Ndugu Absalom Kibanda, amevamiwa usiku wa kuamikia leo akiwa  anashuka nyumbani kwake Mbezi Beach na watu wasiofahamika na kumpiga kichwani.Amepata majeraha Makubwa kichwani na hasa jichoni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...