Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda
kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada
ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa
marehemu sehemu za Ununio, Machi 19, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na
gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa
marehemu sehemu za Ununio, Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio, Machi 19, 2013

No comments:
Post a Comment