LOWASSA ATIKISA IRINGA ...... AKABIDHIWA TUZO YA HESHIMA IRINGA
Kaimu Meya wa manispaa ya Iringa Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa baada ya kutua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa neno mbele ya Lowassa kwa kuwataka viongozi wa serikali kujisahihisha kuwa mambo yanavyokwenda sivyo yanavyotakiwa kwenda |
Askofu wa OPC Iringa Dkt Boaz Sollo akimkabidhi tuzo ya heshima waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa leo katika ukumbi wa St Dominic |
No comments:
Post a Comment