ADV


SOMA HABARI

Monday, April 15, 2013
Mabomu mawili yalipuka kwa mfululizo jana Boston Marekani na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Mlipuko huo ulitokea katika eneo lakumalizia mbio za Marathon ambapo kwa kawaida huwa na watu wengi na milipuko hii imetoka muda mchache tu baada ya mojawapo ya wakimbiaji kupita katika eneo hilo. Bado uchunguzi unaendelea kujua chanzo cha milipuko hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment