ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, April 6, 2013

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege Wameremeta


 Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege leo wakiingia kanisani 
Akifungisha Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Isaya Mengele Amekumbusha Maneno ya Mungu na Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa Kwenye Vitabu Vya Dini.
 Kushoto ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula Dr.Lechion Kimilike ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la Njombe[NJOMBE OPEN UNIVERSITY].
 Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa na Katibu mkuu wa CCM.
 Waziri mkuu Mizengo pinda akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa wilaya ya Njombe bwana Lupyana Fute[Jacky's]ambaye ni diwani wa kata ya Njombe mjini jana wakati wa Harusi ya Mzee Philip Mangula.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Katika harusi ya mzee Mangula jana Njombe.
 Hapa ni ndani ya kanisa la KKKT Dayosisi ya kusini Njombe Mjini ambako pingu za maisha kwa mzee wetu Mangula zimefungwa.
Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula na Mkewe Yolanda Kaberege jana wakifunga pingu za maisha. Picha na Gabriel Kilamya. Picha na Gabriel Kilamya

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...