ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Saturday, April 13, 2013

Ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawala Yaanguka kiwanja cha ndege cha Arusha na Kuua Rubani Jamal B S, au maarufu kama Bob Sambeke


  Ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawala aliyefariki wiki 3 zilizopita na kuzikwa huko Nairobi imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua (final approach) katika kiwanja cha ndege cha Arusha.


Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani peke yake anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama Bob Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.
Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.
 
UPDATE:

BOB SAMBEKE ALIYEKUWA RUBANI WA MAREHEMU WAKILI MAWALA. NYAGA NAYE KAFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...