ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, April 19, 2013

WABUNGE WAANDALIWA SHEREHE NA TBL





bendi ya king kiki ikitumbuiza king kiki akionyesha umahili wake huku akionyesha



Spika wa bungve wa jamhuri Anna Makinda akiwa n mbunge John Cheyo wakisakata dansi jana bngeni


Baadhi ya wabunge wakila kinywaji

wabunge Lembeli na AliKessy wakifuatilia afla hiyo ya wabunge
MheshimiwavWilliam Lukuvi akiburudika na dansi


baadhi ya wabunge na mawaziri wakifuatilia hafla ya wabunge

wadada hawa wa kampuni yaBia tbl hukui wakiwa na makombe



wabunghewanawake wakiselebuka na wimbowa kitambaa cheupe huku wakionyesha vitaaambaa





hata wazungu waliserebuka pia

Spika wa bunge la jamhuri ya Anna makinda akifungua dansi kwastahili ya mduwala
wakati wa chakula

mbunge wa kinondoni Idd Azan na mbunge wa vitimaalum gezabuke wakisakata dansi maalum iliyotaarishwa na kampuni ya bia TBL

Bandi ya king kiki wazee sugu wakiwaburudisha wabunge katika ukumbi wa bunge mjini dodoma

Baadhiya viongozi wa kampubi ya Bia TBL wakifuatilkia kwakaribu wakati wa hafla ya kutembeza kombe lao waliloshinda

King kiki akijumuika na wabunge wakipata bufee

King kiki akionyesha kitambaa cheupe wakati akimba wimbohuokatika ukumbi wa bunge mjinidodoma


Baadhi ya wabunge wakipata vinywaji



wabunge wakipata kilaji


Spika wa bunge akibeba kombe mara baada ya kukabidhiwa na kiongozi wakampuni ya bia TBL



Spika wa bunge Anna Makinda akiwana viongozi wa TBL



Wakisakata dansi wimbo wakitambaa cheupe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...