Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Maonyesho ya Nane ya Vyuo
Vikuu kutoka nchi mbalimbali, yatakayofanyika kwa siku tatu katika
Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo
yamefunguliwa jana. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR).
Baadhi
ya washiriki wa maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi
mbalimbali, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya
kufungua rasmi maonyesho hayo ya siku tatu katika ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Maofisa wa mfuko wa PPF, kutoka (kushoto) ni Meneja wa
Kanda ya Ilala, Evans Musiba, Meneja Uhusiano, Lulu Mengele na Ofisa
Masoko, Sereki Michael, wakati alipotembelea katika banda la maonyesho
la PPF, kwenye maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali
yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere,
Africa Junior, kuhusu Kituo cha utafiti wa Usafirishaji, wakati
alipotembelea kwenye banda la Chuo Kikuu cha Makerere kwenye Maonyesho
ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa siku tatu
katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa, Ofisa Udahiri Mwandamizi wa Tume ya
Vyuo Vikuu Tanzania, Hilder Kawiche, wakati alipotembelea Banda hilo
kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali
yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa, Makamu Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha
United African-Tanzania, Jo, Do Hyun, kuhusu matumizi ya gari ndogo
inayotumia Chaji ya Umeme wakati alipotembelea katikia Banda hilo,kwenye
Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika
kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Sakina Taki (kushoto) na Tannaz Naseri, kutoka
‘University of the Future’ , Kuala Lumpur, wakati alipotembelea Banda
hilo kwenye Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali
yanayofanyika kwa siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa, Msimamizi Mkuu wa Teknolojia wa Chuo
Kikuu cha SUA, Gaudencia Donati, wakati alipotembelea Banda hilo kwenye
Maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka nchi mbalimbali yanayofanyika kwa
siku tatu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Akitembelea katika Mabanda ya maonyesho ya Nane ya Vyuo Vikuu kutoka
nchi mbalimbali ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment