ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, May 22, 2013

Hali bado si nzuri Mtwara, Nyumba zaendelea kuunguzwa moto huku polisi wakiendelea kujitahidi huzuia hali ya mtafaruku na uharibifu zaidi



https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94727&d=1369210247 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94726&d=1369210162 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94725&d=1369210066 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94724&d=1369209998 
 
 
Hali Mtwara bado ni tete: ITV wameripoti muda si mrefu kuwa jengo la CCM Wilaya ya Mtwara limeteketezwa kwa moto, baada ya kupigwa kiberiti na watu wasiojulikana.
Hali imezidi kuwa mbaya katika Mji wa Mtwara na hivi punde watu wanaendelea kufanya uharibifu katika maeneo mbalimbali ya mji huo.Jengo moja ambalo linadaiwa kumilikuwa na CCM limechomwa moto katika eneo la Majengo na daraja linalounganisha Lindi na Mtwara limevunjwa.Mbali na hayo pia nyumba ya mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC)
imechomwa moto.Katika Mji wa Mtwara milio ya mabomu na risasi ndio inayosikika kila kona. Jeshi la Polisi linajaribu kuwadhibiti vijana  na watu wengine ambao wanafanya vurugu hizo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...