Awali
rapa huyu alipanga kuwa siku atakayoachiwa ataingia moja kwa moja
katika tour ya dunia kwa ajili ya kuwafikishia mashabiki ujumbe kuwa
amerudi kwa kasi, lakini mpango huu haukuwa kama ulivyopangwa.
Msanii
huyu alitiwa kifungoni kwa makosa mawili
1.Kukwepa kulipa kodi
2.Kukamatwa akiwa anamiliki silaha (bastola) kinyume cha sheria.
No comments:
Post a Comment