Habari tulizozipokea hivi punde ni kwamba, mahakama Kuu imemfutia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA),Wilfred Lwakatare(Pichani juu), mashtaka yote ya ugaidi, na imerudisha shtaka moja la utekaji(kidnapping) Mahakama ya Kisutu na pamoja nasuala la dhamana.ADV
SOMA HABARI
Wednesday, May 8, 2013
Lwakatare afutiwa mashtaka ya ugaidi
Habari tulizozipokea hivi punde ni kwamba, mahakama Kuu imemfutia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA),Wilfred Lwakatare(Pichani juu), mashtaka yote ya ugaidi, na imerudisha shtaka moja la utekaji(kidnapping) Mahakama ya Kisutu na pamoja nasuala la dhamana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment