ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, May 29, 2013

Habari ambazo zimethibitishwa na Docta, Msanii Mwenzake na Ngwea hajafariki dunia Afrika ya Kusini. Mipango ya mazishi ya Ngwea yaanza. P Funk akataa nyimbo za marehemu zisipigwe Clouds FM.

TAARIFA KUTOKA AFRIKA YA KUSINI ZINASEMA MSANII MWENZAKE NA NGWEA WALIO KUWA PAMOJA  M TO THE P ALIYE KUWA MAHUTUTI ANAENDELEA NA MATIBABU

Wakati huo huo mipango ya mazinshi ya Ngwea zimeanza

Baba Mdogo wa Marehemu Mzee Mangwair ambaye yuko Mbinga Songea kikazi, amesema kuwa wamekubaliana na kaka yake mkubwa yaani Baba Mkubwa wa Ngwair, David Mangwair ambaye naye yuko Songea kuwa watu watakutanika Mbezi kwa msiba na pia mapokezi yatafanyika hapa Dar es salaam Mbezi Beach.Ingawa bado kikao cha familia nzima hakijafanyika lakini Baba huyo mdogo amesema wanaweza kulazimika kuzika Morogoro sehemu ambayo baba yake alizikwa.

Baba huyo mdogo alisema kuwa kesho ndo watarudi Dar es Salaam pamoja na Kaka yake yaani Baba Mkubwa wa marehemu.Kuhusu mwili kuletwa hapa Tanzania kutoka Africa ya Kusini Baba mdogo amesema kuwa mpaka sasa hawajajua jinsi gani mwili hup utafika hapa lakini kuna ndugu zao ambao tayari washaanza kufanya taratibu za kuwasiliana na Ubalozi wa Africa ya Kusini ili kujua ni jinsi gani mwili huo utafika hapa.


Wakati yayo yakiendelea P Funk akataza nyimbo za Nwea kupigwa Clouds FM.



PRODUZA MKONGWE P FUNK MAJANI AMESEMA NI MARUFUKU KWA CCLOUDS FM KUPIGA NYIMBO ZA MAREHEMU NGWEA ZOTE ZILIZOREKODIWA BONGO RECORD,AMESEMA BAADAE ATATOA OFFICIAL LETTER.

Wakati huo huo , Msanii Lady Jaydee ameahirisha shughuli ya kutimiza miaka 13 iliyokuwa ifanyike Keshokutwa kutokana na kifo hicho


TAMKO LA MSANII LADY JAYDEE KUHUSU SHOO YAKE YA MIAKA 13,ILIYOKUWA IFANYIKE IJUMAA HII.AMESEMA KUPITIA KIPINDI CHA SUPAMIX YA EAST AFRICA RADIO KWA UCHUNGU MKUBWA KUWA SHOO HIYO HAITOFANYIKA TENA KUTOKA NA KIFO CHA MSANII NGWAIR MPAKA PALE TAREHE NYINGINE ITAKAPOTAJWA TENA#RIP NGWAIR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...