Mbunge wa arumeru mashariki-chadema Joshua
Nasari(kushot)akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi
wa Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni, Mhe Freeman Mbowe muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa
arusha kwa ajili ya kuwapa pole
majeruhi wote waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru kutokana na majeraha
yaliyosababishwa na mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono katika kanisa la Mt
Joseph Mfanyakazi, katika parokia teule ya Olasiti, Arusha, lililotokea Jumapili
iliyopita, Mei 5,
2013 Kulia kwake ni mbunge wa arusha mjini-Chadema Godbless
Lema
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni, Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na watu mbalimbali muda mfupi
baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa arusha kwa ajili
ya kuwapa pole majeruhi wote
waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru kutokana na majeraha yaliyosababishwa na
mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono katika kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi,
katika parokia teule ya Olasiti, Arusha, lililotokea Jumapili iliypoita, Mei 5,
2013
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa
Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni, Mhe Freeman Mbowe akiongea na waaandishi wa habari muda mfupi
baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa arusha kwa ajili
ya kuwapa pole majeruhi wote
waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru kutokana na majeraha yaliyosababishwa na
mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono katika kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi,
katika parokia teule ya Olasiti, Arusha, lililotokea Jumapili iliypoita, Mei 5,
2013.kushoto kwake ni
Mbunge wa arumeru mashariki-chadema Joshua Nasari na
Kulia ni Kulia kwake ni
mbunge wa arusha mjini-Chadema Godbless Lema.Picha na
Chadema
---
Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbunge wa Hai na Kiongozi
wa Kambi Rasmi ya Upinzania Bungeni, Mhe Freeman Mbowe jana jioni aliwajulia
hali na kuwapa pole majeruhi wote waliolazwa katika hospitali ya Mt Meru
kutokana na majeraha yaliyosababishwa na mlipuko wa bomu la kurushwa kwa mkono
katika kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi, katika parokia teule ya Olasiti, Arusha,
lililotokea Jumapili iliypoita, Mei 5,
2013.
Baadaye katika mazungumzo yake na waandishi wa habari, Mbowe aliwapa pole wote walioathirika kwa janga hilo kwa namna yoyote, na kuwataka Watanzania wote wawe watulivu wakati vyombo vya dola vinafanya kazi yake, lengo likiwa ni kuwapata wahusika ili ijulikane hasa lengo lao.
Baada ya kutoka
hopsitalini, Mbowe na msafara wake walielekea Elerai kuhani msiba mmoja wa
waliofariki.
Mbowe katika msafara wake aliambatana na wabunge wa chama hicho kwa majimbo ya Arusha Mjini na Arumeru Mashariki, pamoja na viongozi wa juu wa Chama wa Kanda ya Kaskazini.
Mbowe katika msafara wake aliambatana na wabunge wa chama hicho kwa majimbo ya Arusha Mjini na Arumeru Mashariki, pamoja na viongozi wa juu wa Chama wa Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment