Muono
wa jicho la samaki katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya Umoja wa
Afrika (AU) katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei
25, 2013.
Viongoi mbali mbali wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) wakiwakumbuka waliotangulia mbele ya haki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya
Umoja wa Afrika (AU) katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa
leo Mei 25, 2013.
MMarais
Wastaafu wakiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika
makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013.PICHA NA
IKULU
No comments:
Post a Comment