ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, May 24, 2013

SERIKALI YALAANI VIKALI BUNGE KUDHALILISHWA




Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta Akiwa Bungeni leo amelaani vikali gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo imelidhalilisha bunge la tanzania.Mh Sitta ametoa kauli hiyo asubuhii wakatia akisoma hotuba ya bajeti ya wizara ya afrika mashariki kwa mwaka 2013/2014.

Mh Sitta amesema pamoja na bunge kuwa na mjadala mkali lakini siyo sahihi kulidhalilisha bunge la tanzania kwa namna hii na kusema huenda picha hii ikachochea vurugu na majirani zake.Picha hiyo ilichapishwa katika gazeti moja kutoka kwa majirani zetu siku za karibuni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...