Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini
Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la
kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusababisha vifo
na majeruhi.
Paroko wa Kanisa Katoliki la
Olasiti la Arusha Peddy Castelino akiomba wakati Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda alipotembelea kanisa hilo May 7,2013 kutoa pole kufuatia mlipuko
wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na
kusabisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha, Peddy
Castelino (kulia) May 7,2013 wakati alipotembelea kanisa hilo May
6,2013 ambako ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na
kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia sehemu lilipodondoshwa bomu hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa
Pole Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto )
na Balozi wa Vatican nchini, Askofu Mkuu, Francisco Montecillo
(katikati), May 7,2013 baada ya kutembelea Kanisa Katoliki la Olasiti
jijini Arusha ambako May 6,2013 ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa
mkono na kusababisha vifo na majeruhi.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment