ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWZZ;HABRI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU NI KWAMBA MSAANII LANGA AFARIKI DUNIA

 

  
Msanii Langa Kileo a.k.a Langa, amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na kuumwa malaria kali. Msanii huyo alikimbizwa katika hospitali hiyo jana baada ya kuzidiwa na hatimaye akafariki siku ya leo. 
Goldentz Blog inatoa pole kwa wafiwa wote na Mungu ailaze roho ya marehemu Langa Kileo Mahala pema peponi. Amen


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...