Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiinua juu na kunyesha Kitabu cha Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa rasimu hiyo
uliofanyika leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Kulia
ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Mpya, Joseph Sinde Warioba.
Sehemu ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari, waliohudhuria hafla hiyo, wakiwajibika.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment