
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akihutubia katika mkutano wa kimataifa wa Lishe Mjini London Juni 2013.

Rais wa Malawi Joyce Banda akihutubia katika mkutano wa lishe jijini London juni 8, 2013.

Goodwill
ambassador wa UNICEF, Angelique Kidjo ambaye apia nai mwnamuzi wa
kimataifa akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa Lishe uliofanyika
mjini London Juni 8, 2013.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Lishe
uliofanyika Mjini Londoni Juni 8, 2013. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu
wa Ivory Coast, DanielDuncan.

Waziri
Mkuu,Mizengo pInda ana Viongozi wengine wakimsikiliza Waziri Mkuu wa
Uingereza, David Cameron wakati alipohutubia mkutano wa kimataifa wa
Lishe mjini London Juni 8, 2013.

Waziri
Mkuu,Mizengo pInda ana Viongozi wengine wakimsikiliza Waziri Mkuu wa
Uingereza, David Cameron wakati alipohutubia mkutano wa kimataifa wa
Lishe mjini London Juni 8, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Kamishina wa Maendeleo ya Uchumi na Kilimo wa Kamisheni
ya Umoja wa Afrika (Commissioner for Rural Economy and Agriculture,
African Inion Commission), Tumusiime Rhoda katika Mkutano wa Kimataifa
wa Lishe Mjini London Juni 8, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment