
Quinton Fortune, Mchezaji wa zamani wa
Manchester United ambaye kwa sasa anasomea fani ya ualimu wa soka
kwenye kompaundi ya Manchester United alipotembelea Azam FC Chamazi leo
kwa mwaliko wa DHL, Fortune alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC
na kusema hajawahi kuona kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata
kwenye nchi yake ya Afrika ya Kusini. (HM)

Fortune akipasha


No comments:
Post a Comment