Leo ni Uchaguzi Zimbabwe, Wazimbabwe hata wasio na nguo siku za kampeni wanapendeza sana. Nimekuwa nikijiuliza, wakati wa kampeni Ulaya na marekani wanapeperusha bendera za nchi zao, Africa tunavaa mavazi mazuri ya gharama kwli kweli. Ni kwa nini?
Kampeni za Urais za ZANU PF Zimbabwe
Kampeni za Urais MDC Zimbabwe
Kampeni za Urais Kenya Kampeni za Urais Afrika Kusini
Kampeni za Urais Tanzania
Kampeni za urais Marekani Kampeni za uchaguzi Uingereza
No comments:
Post a Comment