Rais
Barack Obama na Familia yake wakishuka kutoka ndege ya Airforce One
muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana mchana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Barrack Obama wa Marekani
muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam mchana wa jana. Kulia ni Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete.
Rais
Dkt.Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani
muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.nyuma ya Rais na
mgeni wake ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa Marekani
Mama Michelle Obama.
Rais Barrack Obama akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa
Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam leo mchana.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa
Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa
Marekani makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi muda mfupi baada ya
Rais huyo wa Marekani kuwasili nchini kwa Ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Padu Ameir Kificho katika uwanja wa
ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana(picha na Freddy Maro)
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Michelle Obama muda
mfupi baada ya kuwasili kwa Rais Obama nchini kwa ziara ya siku mbili
nchini
RaisDkt.Jakaya
Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwaongoza wageni wao
Rais Barrack Obama wa Marekani na mkewe Michelle kuangalia ngoma
mbalimbali za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kwa ziara ya siku mbili nchini.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana
na Rais Barrack Obama katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam jana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani
wakifurahia na kufuata mapigo ya ngoma za utamaduni katika uwanja wa
Ndege wa Mwalimu jijini Dar es Salaam leo mchana wakati wa mapokezi ya
kiongozi huyo wa Marekani na ujumbe wake.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwatambulisha baadhi ya viongozi waandamizi
wa serikali kwa Rais Barrack Obama na mkewe katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam
na baadaye akaongea na wanahabari
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam
DAR ES SALAAM — President Barack Obama
leaves Tanzania Tuesday for Washington, ending his week-long Africa trip
focused on expanding U.S. trade and investment with Africa, and on
democratization. Thousands of people lined Dar es Salaam's streets to
welcome Obama and his family.
The Obamas walked off Air Force One into a bright, steamy day in Dar es Salaam, where they were welcomed by Tanzania's President Jakaya Kikwete, his wife and dignitaries.
Cheers went up in the crowd that included women dressed in traditional “khanga” skirts holding pictures of Obama.
Thousands lined the airport road to cheer the president's motorcade.
At the presidential state house, the Obamas and Kikwetes walked down a red carpet, shaking hands with wellwishers.
Later, at a news conference, President Kikwete thanked Obama for what he said was “invaluable” support for development, from education to food security and AIDS prevention.
“The lives of the people of Tanzania are different today, thanks in many ways to the support we have been getting from the United States of America," said President Kikwete.
President Obama lauded Tanzanians.
“Tanzanians continue to work to strengthen their democracy. Parliament, opposition groups, civil society groups and journalists are all doing their part to advance the good governance and transparency on which democracy and transparency depend," said President Obama.
The two leaders also discussed the conflict in the Democratic Republic of Congo, which borders Tanzania.
Obama urged all parties to the recently signed U.N. Framework for Peace to fulfill their commitments, saying the peace effort has to be more than just a piece of paper. Eleven countries, including the DRC, signed the agreement.
“The countries surrounding the Congo, they have got to make commitments to stop funding armed groups that are encroaching on the territorial integrity and sovereignty of the Congo," said Obama. "They have signed on to a piece of paper, now the question is, do they follow through?”
President Obama and his family leave Tuesday for Washington.
But first, he and former U.S. president George W. Bush will lay a wreath at the site of the al-Qaida bombing of the U.S. embassy in 1998

No comments:
Post a Comment