Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la
Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo
hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu.
Prezzo ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously????
Mwisho alimalizia kwa kujibu tweet ya mtu mmoja aliyemwambia kuwa huyo ni Diamond kwa kuandika: Unfortunately only “diamonds” I know is the ones on ma neck fam.”
Mashabiki walimjia juu sana prezoo kama inavyoonekana hapa chini:
Msanni Prezzo wa Kenya atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.
Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia
comments zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini
Kenya, ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.
Edwin Mwashegwa : ah, Diamond achana na huyu
mbulula, wewe unda hela!, bifu za ki***ge hazifai.
Top Commenter: Prezzo umepita hiyo age ya beef
za kishenzi. Ingia studio utoe kitu, otherwise kwa musiki diamond ako juu. I
feel you bro! anything to remain relevant and grab some
headlines.
Bellah Ongachi : aaarggh Diamond is waaayy
better.. n am sure by the time he hits the years prezzo has stayed in the
entertainment scene he'll be miles ahead..so your thing
diamond.
Caroline Karijo : Mhhhhh who even listens to to
him Jaguar and Diamond r much better than him n we all knw,,,,,,, he can
continue playing women who stoops low for him.
Yvonne De Cole : Prezzo ni wivu nini,,,, leave
the highest paid musician in East Africa alone,,, ana mulla en he is still
simple doesn floss,,,, prezzo inherits yet flosses
De Sheriff : Diamond, silence is the best
weapon. let the baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature
up.
Diamond hadi sasa bado hajazungumza
chochote.
No comments:
Post a Comment