Waziri wa Fedha Dkt.William Mgimwa
na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea
wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi
vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa
na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakiangalia
mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya
kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa
(kushoto)akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya
Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya
kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es
Salaam.
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa
kushoto akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya
Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni
87 za kitanzania,waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi
vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri
wa Fedha Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya
Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import
ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo
vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo jijini Dar Es Salaam.Picha zote na Lorietha Laurence-MAELEZO
No comments:
Post a Comment