Mubarak akiwa jela
Hosni Mubarak Rais wa Misri aliyeondolewa madarakani kwa maandamano ya wananchi "popula revolt" ataachiwa huru ndani ya masaa 48 amesema mwanasheria wake. Mubarak aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya rushwa na mauaji ya waandamanaji alikuwa akitakiwa na wafuasi wa Morsi afungwe maisha au auawe. Kuachiwa kwa Morsi kutazidi kuleta machafuko katika nchi ya misri ambayo inaelekea kutotawalika. Wakati huo huo, hali nchini Misri inafananishwa na hali ilivyo Syria kwa kuwa mochuari zimejaa maita kupita kiasi.
Hali inaendelea kuwa tata baada ya wafuasi wa Morsi kuwachinja polisi 25 huko Sinai.
Hata hivyo, Mkuu wa majeshi Al Sisi amewasihi wafuasi wa Morsi wafuate sheria katika kutafuta haki na kwamba msimamo wa jeshi hilo hautabadilika.
He was speaking after judicial authorities ordered Mr Mubarak released in one
of the remaining corruption cases against him.
The only legal grounds for Mr Mubarak's continued detention rest on another
corruption case which will be cleared up later this week, Mr Deeb told
Reuters on Monday.
"All we have left is a simple administrative procedure that should take
no more than 48 hours. He should be freed by the end of the week," Mr
Deeb said.
Mr Mubarak, 85, still faces a retrial on charges of complicity in the murder
of protesters during the 2011 revolt. In January, an appeals court threw out
the guilty verdict and life sentence against the former Egyptian strongman,
after both the prosecution and the defence contested the judgment - but on
different grounds.
Lawyers for the then-ruling Muslim Brotherhood were seeking a harsher verdict,
arguing that a new trial with fresh evidence could result in the death
penalty for Mr Mubarak. Meanwhile the defence sought his acquittal, claiming
there was no evidence that Mr Mubarak had allowed the killings.
No comments:
Post a Comment