ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, August 12, 2013

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akipata matibabu chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi-Hospitali ya taifa ya muhimbili jijini Dar es Salaam


 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi, jijini Dar es Salaam, wakati akisubiri kufanyiwa operesheni katika bega lake la mkono wa kulia baada ya kupatwa na jeraha linalodaiwa kuwa limetokana na kupigwa risasi na Polisi mjini Morogoro hivi karibuni.Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...