ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Tuesday, August 6, 2013

"KIROBO" ROBOT WA KWANZA DUNIANI ANAYEONGEA NA KUTAMBUA WATU NA HISIA ZA WATU.

  





Speaking robot has sent to the space from Japan


 "Kirobo" ni jina alilopewa robot wa aina yake huko Japan ambaye ana uwezo wa kuongea na kuhisi mtu na kuhisi hisia za mtu kama amekasirika n.k. Kirobo na neno "kibo" ambalo kwa kijapani ni Matumaini. Kirobo ana urefu wa sentimeta 34 na uzito wa kilo moja tu. Kirobo ametumwa kwenda kwenye kituo cha anga za juu za Japan kwenye sayari.
Kirobo aliyetengenezwa kwa rangi nyeupe na nyeusi na viayu vyekundu alitengenezwa na Chuo kukuu cha Tokyo, Toyota Corp Inc na Dentsu Inc. Kirobo anatarajia kukaa huko kwenye sayari hadi mwishoni mwa mwaka kesho. Kirobo akiwa huko, atasaidiana na mwanasayari (astronout) Koichi Wakata.

Kirobo anaongea lugha moja tu ya kijapani na ametengenezwa katika mfumo wa kugundua sura ya mtu na sauti. Akiwa huko anga za juu atakuwa anawasiliana na Wataka. Wataka pamoja na wanaanga wengine sita wataenda humfuata Kirobo mwezi wa 11.
Hata hivyo Kirobo anatarajia kufika kwenye sayari hiyo Ijumaa ijayo ambapo Juzi jumapili aliondoka na chombo kisichokuwsa na rubani.

Tazama video ya "KIROBO" akiongea na bosi wake.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...