ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Monday, August 19, 2013

Mikutano ya Mabaraza Huru ya Katiba Mpya Kutoka Chadema

 Katibu Mkuu wa Cahdema Dk.Wilbrod Slaa akihutubia mkutano-kiomboi.
  Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Muleba mkoani Kagera, wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya kujadili rasimu ya katiba mpya, uliofanyika kwenye Uwanja wa Red Cross pichani wakimsiliza Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
 Sanjenti mstaafu akitoa maoni Kiomboi-Singida.
Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamevalia nguo za kimapambano wakati wakilinda mkutano wa Mabaraza Huru ya Katiba Mpya, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbrod Slaa katika eneo la Kiomboi, Wilaya ya Iramba, Singida.Na Mpiga Picha wetu na Joseph Sanga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...