- WAJIFANYA USALAM WA TAIFA,POLISI,UHAMIAJI
- WADAIWA KUTOA VIZA KWA WAGENI SH.20,000
Mmoja wa matapeli ambaye hutumika kama dereva teksi isiyo rasmi
HALI si
shwari ndani ya kituo cha Mabasi yaendayo mikoani Ubungo (UBT), Dar es Salaam,
kutokana na utapeli mkubwa unaowafanywa na watu wanaojifanya waajiriwa wa Idara
ya Usalama wa Taifa, Jeshi la Polisi na Uhamiaji.Utapeli huo unafanywa kwa
abiria wanaoingia jijini humo, wakitokea mikoa ya mbali kama Kigoma, Bukoba na
nchi jirani za Kenya, Uganda, Bunjumbura na Malawi
.Hali hiyo inadhihirisha wazi kuwa kasi ya watu
wanaotumia majina ya taasisi hiyo kufanya utapeli, imekuwa ikiongezeka katika
maeneo tofauti ya jiji hilo.Majira baada ya kupata taarifa za utapeli
huo wiki mbili zilizopita, lilituma kikosi kazi cha waandishi walioshinda
katika stendi hiyo ili kubaini mbinu chafu ambazo zimekuwa zikifanywa na watu
hao kujipatia pesa.
Katika uchunguzi huo, imebainika mbali ya watu
hao kufanya kazi ya ukaguzi wa mabegi ya abiria ili kufanya utapeli, pia
wamekuwa wakijifanya mawakala wa baadhi ya mabasi yanayokwenda masafa marefu
kwa kuuza tiketi feki.Jambo la kushangaza, baadhi ya wafanyakazi wa mabasi
hayo, wamekuwa wakishirikiana na matapeli husika kwa kupeana ishara pale mabasi
hayo yanapofika kituoni ili kuwafahamisha abiria waliobeba mizigo mikubwa.
Chanzo chetu cha habari katika stendi hiyo,
kilidai matapeli hao wana mtandao mkubwa (ambao ulishuhudiwa na waandishi
wetu), ambao baadhi yao, hutoa viza za kusafiria kwa sh. 20,000 ambazo abiria
akifika nazo mpakani, hukaguliwa na kuonekana za halali."Biashara hii
hufanyika kila siku kwa usiri mkubwa lakini wapo baadhi ya askari polisi hapa
Ubungo, wanashirikiana na hawa matapeli kufanikisha uhalifu wao," kilisema
chanzo hicho.
Alisema
abiria wenye mizigo kutoka mikoani na nje ya nchi, wamegeuzwa mradi wa matapeli
hao. Kikosi kazi cha Majira kiliwashuhudia baadhi ya matapeli hao wakiwa
wamevaa vizuri hivyo kuonekana watanashati kumbe wahalifu.
Mazingira ya Utapeli
Baada ya mabasi hayo kuingia stendi, matapeli
hao hulisogelea basi husika wengine wakijifanya Maofisa Usalama, Polisi na
Uhamiaji ambao huingia ndani ya mabasi hayo na kufanya ukaguzi kabla abiria
hawajashuka.Waandishi wetu walishuhudia dada mmoja aliyeshuka katika basi la
Kampuni ya Advernture akiwa na mizigo kutoka Kigoma, akitapeliwa na watu hao
kwa kulazimishwa kuingia kwenye teksi bubu (namba tunazo) na kuondoka naye.
Uchunguzi umebaini kuwa, matapeli hao wanatumia
magari maalumu ambayo hupaki ndani ya stendi hiyo na kufika eneo hilo kuanzia
saa moja asubuhi na mabasi hayo yanapoingia, hupeana ishara mbalimbali.Kikosi
kazi kilichokuwa kikiwafuatilia matapeli hao, kilibaini mtandao huo pia
unahusisha wanawake ambao nao hujifanya maofisa wa taasisi hizo (Usalama,
Polisi na Uhamiaji).
Juzi baada ya matapeli hao kubaini kuna watu
wanaowafuatilia, walilazimika kupotea kwa muda na kurudi jioni wakiwa makini
kuwatafuta waandishi wetu ambao baada ya kubaini hali hiyo, waliondoka eneo
hilo bila kushtukiwa.Hitimisho la uchunguzi huo kwa siku ya jana, kikosi kazi
cha Majira kiliwashuhudia zaidi ya matapeli 10 wakiwa wamejigawa katika makundi
matatu, wakiitana kwa majina na kugawana fedha walizofanikiwa kumwibia abiria.
Mtandao huo unafanywa na watu ambao umri wao ni
mkubwa, ambapo waandishi wetu walishuhudia mzungu mmoja raia kutoka nchini
Canada, Bi. Hayley Wade, akimwaga chozi baada ya kutapeliwa sh. 150,000 wakati
akitaka tiketi ya kwenda Uganda.Kikosi kazi kilizungumza na Bi. Wade muda mfupi
baada ya kutapeliwa na kusema baada ya kufika kituoni hapo, alipokelewa na watu
waliojifanya wafanyakazi wa Kampuni ya Falcon na kumkatia tiketi kutoka Dar es
Salaam hadi Kampala.
Alisema baada ya kupewa tiketi, walimwambia
asubiri basi lakini alijikuta akikaa muda mrefu kituoni hapo bila kuliona basi
hilo hivyo alitaka kurudishiwa fedha zake.Waandishi wetu waliishuhudia tiketi
hiyo ambayo ilikuwa haijaaandikwa kiasi cha pesa alizolipa kwa safari hiyo na
kubaini mzungu huyo tayari ametapeliwa mchana kweupe.
"Ni l i p o o n a n a c h e l ewa ,
niliomba nirudishiwe fedha zangu, niliambiwa mtu niliyempa pesa hayupo hivyo ni
vigumu kurudishiwa fedha zangu," alisema Bi. Wade.Wakati waandishi
wakizungumza na Bi. Wade, alitokea mfanyakazi mmoja wa kampuni hiyo, kumtaka
aoneshe tiketi na kumwambia asubiri baada ya saa moja lakini mzungu huyo
alisema hawezi kusubiri kwani muda unaenda na yeye hajui hatima yake hivyo
alitaka kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, akakate tiketi
ya ndege.
"Ninachotaka ni pesa zangu niende Uwanja wa
Ndege...sitaki tena kusafiri na basi, naona muda umeenda na safari
hakuna," alisema Bi. Wade mbele ya waandishi akimwambia mfanyakazi wa
kampunih iyo.Baada yamuda, alitokea mtumwingi ne a liyedai na yenimfa
nyakaziwakampunihiy o, kumc hukuaBi. Wade nakwendanayepemben i ambapoa lim
rudishia sh.90, 000ambayo haikujul ikana ilito kawap i
ndipomzunguhuyoakapandateksi nak uondok a.Wakati Bi. Wad eakiwakwenye teksi,alis ikikaakisemaakiru di
nyumb anikwao , atazungu mzanavyombovyahaba rinchin ihumo ili kuwe ka w aziut
apeliu liopoTanzania
Mkuu wa Kituo
Ma jiralilimt afutaMkuuwaKituocha PolisiUbung o, amb aye alid ai k
utokuwanata arif azozotejuuyamatapel i ha onak uahidi kulifuatilia suala hilo
kuanzia jana.
RPC Kinondoni
KamandawaPolisi MkoawaKinondoni, Cam iliusWambu ra, alipo
ulizwakuhusian anautapeli huoalikiri kuwepok wa tatizohilonatayaribaadhi ya
matapeli wam eka matwa .
"Kunamatapeli wanaoj iita Maofisa Usalama,
PolisinaUhamiaji, t umejipan gailikukomeshavit endohi vi, tumewaka matasita
nabadotutaendeleakuwa sakawen gine," alisemaKamandaWamb ura.Alion geza
kuwa , hivisasakuna mat apeliwengi ambao habari zaozimer ipotiwakatikav yombovyahabarinakuto
a witokwaabir ia, was iku balikupeku liwa hovyoba dalayakew aon eshwekielele
zokama kwel imtuhusika ni askari ambapo eneo hilo pia kuna Kituo cha Polisi
hivyo ukaguzi ukafanyike huko.
TABOA wazungumza
K waupa nde wake,Ka tibuMkuuwaCha machaW amil ikiwa M abasi
yaen dayo Miko ani(TA BOA), Bw.EneaMrutualis emakituonihapokuna matap elisug
una waowalis hatoataarifaras mikw ab arua wal iyompaaliyeku waKamandawaPolisi
Mkoawa Kipolisi Kinondo ni, Cha r lesKeny elalakini hakunahatuazo zoteam bazozilichukuliwa.
"Hivi karibuni tumeandika barua nyinginekwendakw
aKamandaWambura kumwele zaha li hii lakini hatuja rudishi wam ajibu.
..hapastendiUbungokun amambomengi yanafany ika."Watuwanajifanya Maofisa wa
Po lisi nah atawakikamatwa, baada yadakik a10 wameachiwahivyotunaom bapo
lisiwote walio kokatikakitu ohiki kwazaidiya miaka10wahamish wenaku wekwa wapya
ili kudhibitihali hii ,"alisemaBw. Mrutu.
Alisemahadi
sasa hakuna derevayeyo teal iyek amatwanakuchuku liwa hatua kwa kushirikiana na
mtandao wa matapeli,piakunama basi me ngi yanayos afi risha abiria bila leseni
na baadhi ya kampuni hazina uanachama wa TABOA hivyo inakuwa ngumu kuyadhibiti
mabasi yote
No comments:
Post a Comment