ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Friday, August 23, 2013

Rubani huyu anatakiwa kuwekwa katika vitabu vya kumbukumbu

Ndege hii ilikuwa ilete majanga kama rubani huyu hakufanya kitendo hiki cha kishujaa.
Rubani huyu aliyeongoza ndege kwenye ziwa manyara alitumia akili ya ziada na busara za hali ya juu. Ingekuwa imetokea marekani au ulaya angetambulika kama hero. Tunatakiwa kumtambua na kuthamini juhudi zake na tumweke kwenye kumbukumbu ya watu shujaa.

DJ SEK

DJ SEK BLOG

DJ SEK BLOG

DJ SEK BLOG
                                 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...