Namba 7 inashikwa na Francois Hollande, Rais wa Ufaransa
Mshahara wake: SGD $291,680 kwa mwaka sawa na milioni 466,688,000 za Kitanzannia
Kazi yake ni kuongoza wananchi milioni 65 wanaokaa katika arthiyenye ukubwa wa kilometa za mraba 675,00.
Namba 6: Stephen Harper, Waziri mkuu wa Canada
Mshahara wake: SGD $387,351 kwa mwaka sawa na Tsh 619,761,900
Kazi yake ni kuongoza wananchi milioni 34.4 katika eneo la kilometa za mraba milioni 10.
Namba 5: Uhuru Kenyatta, Rais wa Kenya
Mshahara wake ni: SGD $390,561 kwa mwaka sawa na Tshs 624,897,600
Anaongoza wananchi milioni 41.6 na kilometa za mraba 580,000. Ana kesi katika mahakama ya kimataifa kuhusiana na uhalifu wa kivita. Haijulikani kama atapatikana na hatia itakuwaje kwa utawala wake.Nchi yake ni kati ya chi maskini zaidi dubiani
Namba 4: Michael D. Higgins, Rais wa Ireland
Mshahara wake: SGD $404,950 kwa mwaka sawa na Tshs 647,920,000
Anaongoza wananchi milioni 4.5 na kilometa za mraba 84,000 tu.
Namba 3: Barack Obama, Rais wa Marekani
Mshahara wake: SGD $500,720 kwa mwaka sawa na Tshs 810,152,000
Anaongoza wananchi milioni 314 na kilomita za mraba milioni 9.8
Namba 2: Donald Tsang, Chief Executive of Hong Kong
Mshahara wake: SGD $642,173 kwa mwaka sawa na Tshs 1,027,476,800
Anaongoza wananchi milioni 7 tu na kilometa za mraba 1,100
Namba 1: Lee Hsien Loong, Waziri Mkuu wa Singapore
Mshahara wake: $2.2 million per annum 3,520,000,000
Anaongoza wananchi milioni 5.1 na kilometa za mraba 710. Ni kati ya nchi zenye uchumi mbovu.
Mishahara iliyotajwa hapo juu ni bila marupurupu mekingine kama travelling allowances, home, mafuta ulinzi, mke, watoto.....
Viongozi wengi hasa wa Kiafrika hawaweki hadharani mishahara yao.
No comments:
Post a Comment