ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Wednesday, September 11, 2013

BALOTELLI AIPELEKA ITALIA BRAZIL 2014

italu ea6de
Wachezaji wa Italy wakishangilia (HM)
italy 7a0ff
TIMU ya soka ya taifa ya Italia usiku wa jana imetoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 2-1 hivyo kujihakikishia nafasi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil.
Timu ya Cesare Prandelli ilitulizwa na bao la mapema Uwanja wa Juventus dakika ya 19 lililofungwa na mchezaji mpya wa Aston Villa, Libo Kozak, lakini ikazinduka na kushinda shukrani kwao wafungaji Giorgio Chiellini dakika ya 52 na Mario Balotelli kwa penalti dakika ya 55.
Czech ilipata pigo dakika ya 89 baada ya Kolaf kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Kikosi cha Italia kilikuwa: Buffon, Bonucci, De Rossi, Chiellini, Maggio, Pirlo, Montolivo/Thiago Motta dk86, Pasqual/Ogbonna dk78, Candreva, Balotelli, Giaccherini/Osvaldo dk45.
Subs Not Used: Sirigu, Astori, Florenzi, Verratti, Gilardino, El Shaarawy, Insigne, Diamanti, Marchetti.
Booked: Balotelli.
Czech Republic: Cech, Gebre Selassie/Rabusic dk77, Sivok, Suchy, Limbersky, Prochazka, Plasil, Darida/Vanek dk55, Rosicky/Kolaf dk37, Jiracek na Kozak. Chanzo: sportmail

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...