ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, September 26, 2013

MRADI WA UZALISHAJI MBEGU BORA ZA MPUNGA GEREZA KILOSA,MOROGORO WAONESHA MAFANIKIO


PIX 1Mkuu wa Gereza Kilosa, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) John Itambu akifafanua jambo kwa mmoja wa Maafisa habari wa Jeshi la Magereza, Mkaguzi wa Magereza Deodatus Kazinja (kulia) walipotembelea mradi huo hivi karibuni. PIX 2Mwonekano wa mfereji wa maji yanayotumika kumwagilia  shamba la mpunga katika mradi huo. Mfereji huo hutumika kumwagilia mashamba ya Magereza pamoja na wanakijiji wanaozunguka eneo hilo na chanzo chake ni kutoka mto Wami Mkoani Morogoro. PIX 3Sehemu ya shamba la mradi wa uzalishaji wa Mbegu bora za Mpunga ambazo husambazwa kwa wakulima kupitia kwa Wakala wa Mbegu nchini (ASA).
PIX 4Baadhi ya Maafisa na Askari wa Gereza Kilosa wakiwa Timamu Paredi tayari kwa majukumu ya siku hiyo ( Picha zote na Lucas Mboje  wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...