ADV

ADV

ADVERTISEMENT CORNER

HUDUMA YA KUKATA TICKET ZA NDEGE ONLINE


SOMA HABARI

SOMA HABARI

Thursday, October 10, 2013

Basi la Abiria Lagongana Uso Kwa Uso na Lori Eneo la Kabuku Mkoani Pwani


  Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali iliyoyakutanisha malori mawili pamoja na basi la abiria lenye namba za usajili T 158 BXG, iliyotokea jana katika eneo la Kabuku, mkoani Tanga.
 Lori la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo.Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...